Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Bei ya leseni ya udereva (Madaraja ya leseni ya udereva). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Tra Madaraja ya Leseni 2025 nchini Tanzania.
Kuhusu Bei ya leseni ya udereva | Tra leseni ya udereva
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni mamlaka pekee nchini inayo ratibu maswala ya leseni za udereva. Ni rahisi mno kuweza kulipia deni lako la leseni kupitia mtandao.
Gharama za leseni ya udereva zinaweza kutofautiana kulingana na daraja la leseni na muda wa leseni hiyo. Hapa chini ni jedwali linaloonyesha bei za kawaida za leseni za udereva:
- Leseni ya Muda wa Miezi 6 ni Tsh:10,000
- Leseni ya Mwaka 1 ni Tsh:30,000
- Leseni ya Miaka 3 ni Tsh:70,000
- Leseni ya Miaka 5 ni Tsh:100,000
Madaraja ya leseni ya udereva
Tanzania ina madaraja mbalimbali ya leseni za udereva, kulingana na aina ya gari unayotaka kuendesha. Kila daraja lina mahitaji yake maalum ya umri, uzoefu, na mafunzo:
- Daraja A: Pikipiki (za ukubwa tofauti)
- Daraja B: Magari ya binafsi
- Daraja C: Magari ya abiria (daladala, mabasi)
- Daraja D: Magari ya mizigo
- Daraja E: Magari yote (isipokuwa ya abiria na pikipiki)
- Daraja F: Mitambo maalum (forklifts, graders)
- Daraja G: Mitambo ya kilimo na migodi (tractors)
- Daraja H: Leseni ya kujifunza (provisional)
Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya kuangalia leseni ya udereva online au mengineyo.
Be the first to comment