Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Bei ya Nauli za Treni ya Umeme (Nauli za sgr 2024/Trc nauli za treni). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Nauli za treni ya mwendokasi nchini Tanzania.
Kuhusu Bei ya Nauli za Treni ya Umeme 2024
hirika la Reli Tanzania (TRC) ni kampuni inayomilikiwa na serikali inayoendesha moja ya mitandao mikuu miwili ya reli nchini Tanzania. Makao Makuu yapo Mchafukoge, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
Shirika la Reli na Bandari la Afrika Mashariki lilipovunjwa mwaka 1977 na mali zake kugawanywa kati ya Kenya, Tanzania na Uganda, TRC iliundwa kuchukua shughuli zake nchini Tanzania. Mnamo 1997 kitengo cha meli ya ndani kilikuwa kampuni tofauti.
Bei ya Nauli za Treni ya Umeme TRC 2024
TRC imependekeza viwango vya nauli (Nauli za treni ya mwendokasi) kama ifuatavyo kwa abiria wanaosafiri kwenye treni ya SGR:
- Soga: Mkubwa – TSH 9,494, Mtoto (miaka 4-12) – TSH 4,747
- Ruvu: Mkubwa – TSH 14,394, Mtoto – TSH 7,197
- Ngerengere: Mkubwa – TSH 19,494, Mtoto – TSH 9,747
- Morogoro: Mkubwa – TSH 24,794, Mtoto – TSH 12,397
- Mkata: Mkubwa – TSH 30,194, Mtoto – TSH 15,097
- Kilosa: Mkubwa – TSH 35,694, Mtoto – TSH 17,847
- Kidete: Mkubwa – TSH 41,394, Mtoto – TSH 20,697
- Gulwe: Mkubwa – TSH 47,294, Mtoto – TSH 23,647
- Igandu: Mkubwa – TSH 53,294, Mtoto – TSH 26,647
- Dodoma: Mkubwa – TSH 59,494, Mtoto – TSH 29,747
- Bahi: Mkubwa – TSH 65,894, Mtoto – TSH 32,947
Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Nauli za treni ya sgr au mengineyo.
Be the first to comment