Bei ya Vifurushi vya Startimes Tanzania 2024

Bei ya Vifurushi vya Startimes Tanzania 2024

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Bei ya Vifurushi vya Startimes Tanzania 2024 (Vifurushi vya Startimes nyota). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu kulipa packages za startimes nchini Tanzania.

Kuhusu Bei ya Vifurushi vya Startimes Tanzania 2024

StarTimes ni jina la chapa ya Star Media(Tanzania) Limited, ni kampuni ya Teknolojia iliyoanzishwa mwaka 1988 nchini China. StarTimes ni mwanzilishi na mhusika mkuu katika suluhu ya televisheni ya kidijitali nchini China na Afrika, ambapo imepata kuwa na zaidi ya watumiaji milioni 7.

StarTimes inatoa huduma za televisheni za ulimwengu wa kidijitali na satelaiti kwa watumiaji, na hutoa teknolojia kwa nchi na watangazaji ambao wanabadilika kutoka televisheni za analogi hadi za kidijitali. Kufikia Julai 2020, StarTimes ina wasambazaji katika nchi 37, ikihudumia watumiaji milioni 13 wa DVB na watumiaji milioni 20 wa OTT.

Bei ya Vifurushi vya Startimes 2024

Startimes inatoa vifurushi mbalimbali vinavyokidhi mahitaji ya watumiaji wake kwa kuzingatia bajeti na chaguo la maudhui. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya vifurushi maarufu na gharama zake kwa mwezi:

1. Bei ya Kifurushi cha Nyota

Bei ya Kifurushi cha Nyota ni TSh 11,000. Hiki ni kifurushi cha bei nafuu kinacholenga kutoa huduma za msingi. Wateja wanaopendelea chaneli za habari, burudani, na vipindi vya watoto wanaweza kufurahia maudhui kutoka chaneli za msingi.

2. Bei ya Kifurushi cha Mambo

Bei ya Kifurushi cha Mambo ni TSh 17,000. Kifurushi hiki kinaongeza maudhui zaidi ya burudani, sinema, na michezo, kinachowalenga watazamaji wa kawaida ambao wanahitaji maudhui bora kwa gharama ya kati.

3. Bei ya Kifurushi cha Uhuru

Bei ya Kifurushi cha Uhuru ni TSh 23,000. Kifurushi cha Uhuru kinalenga wateja wanaohitaji chaneli nyingi zenye maudhui ya hali ya juu, ikiwemo sinema za kimataifa, michezo ya moja kwa moja, na vipindi vya burudani kutoka sehemu mbalimbali za dunia.

4. Bei ya Kifurushi cha Super

Bei ya Kifurushi cha Super ni Ths 38,000. Kifurushi hiki ni moja ya vifurushi vya gharama ya juu.

5. Bei ya Kifurushi cha Chinese

Bei ya Kifurushi cha Chinese ni Ths 50,000. hiki Kifurushi cha bei ya juu kati ya vifurushi vya startimes.

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Bei ya vifurushi vya Startimes kwa wiki, (Vifurushi vya Startimes na Bei zake) au mengineyo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*