
Nafasi za kazi Strategis Insurance May 2025
Nafasi za kazi Strategis Insurance, Strategis Insurance Tanzania Limited ni moja ya kampuni za kwanza za bima binafsi kusajiliwa nchini Tanzania na kupata leseni kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) mwaka 2002. Lengo […]