NECTA Matokeo ya Kidato Cha Pili 2024
Mtihani wa Upimaji wa Kidato cha Pili, almaarufu kama Form Two National Assessment (FTNA), ni mojawapo ya mitihani muhimu inayosimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Mtihani huu hufanyika kila mwaka kwa wanafunzi wa […]