Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Airtel 2024

Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Airtel 2024

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Airtel 2024 (Kujua Salio la internet Airtel). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu kuangalia salio la bando la Airtel.

Kuhusu kuangalia salio la bando la Airtel

Airtel Tanzania Limited ni kampuni ya tatu kwa ukubwa ya mtandao wa simu nchini Tanzania inayoendeshwa na Airtel Africa, ambayo ni kampuni tanzu ya Bharti Airtel ya India, nyuma ya Vodacom Tanzania na Tigo Tanzania.

Kufikia Septemba 2017, Airtel Tanzania ilikuwa na watumiaji wa sauti milioni 10.6. Hadi kufikia Desemba 2017 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania, Airtel Tanzania ilidhibiti asilimia 27.1 ya soko la simu za mkononi Tanzania kwa nambari za wateja, wakati huo ilikadiriwa kuwa milioni 10.86.

Kampuni hiyo ni sehemu ya Airtel Africa, waendeshaji wa mtandao wa simu barani Afrika na mtoa huduma mkubwa zaidi wa simu za mkononi barani Afrika nje ya Afrika Kusini, inayofanya kazi katika nchi 14 barani humo.

Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Airtel 2024

Ni rahisi mno kutazama na Kujua Salio La internet Airtel, kuangalia salio la data ya airtel 2024 kupitia njia ifuatayo;

  1. Fungua sehemu ya Kupiga Simu (Dialer)
  2. Ingiza *102#
  3. Bonyeza kitufe cha kupiga simu.

Baada ya sekunde chache, utapokea ujumbe mfupi (SMS) kutoka Airtel unaoonyesha salio la Dakika, SMS na MB zilizobaki kwenye vifurushi vyako, pamoja na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kifurushi chako.

Kuangalia salio airtel Money

Kuangalia salio airtel money (Airtel Money balance check) tumia Menu ya Airtel kwa kuingiza *149*99# na ufuate maelekezo kuangalia salio lako la vifurushi.

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya kuangalia salio la data ya airtel 2024 au mengineyo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*