Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Halotel 2024 (Kujua Salio la internet Halotel). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu kuangalia salio la bando la Halotel.
Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Halotel 2024,Kujua Salio la internet Halotel, Jinsi ya kuangalia salio la data ya Halotel 2024, kuangalia salio la bando la Halotel, Kuangalia salio Halopesa ,Halopesa balance check
Kuhusu kuangalia salio la bando la Halotel
Halotel ni kampuni ya biashara ya mawasiliano ya simu za mkononi, inayotoa huduma za sauti, ujumbe, data na mawasiliano nchini Tanzania iliyo chini ya kampuni ya Viettel Tanzania Public Limited.
Halotel Inamilikiwa na Viettel Global JSC ambayo ni Kampuni ya Uwekezaji inayomilikiwa na serikali kutoka Vietnam inayowekeza katika soko la Mawasiliano katika nchi kadhaa duniani kote. Imewekeza hadi $1 Bilioni katika soko la mawasiliano la Tanzania. Kampuni ilikuwa kampuni ya kwanza nchini Tanzania kuruhusiwa kuweka kebo yake ya fiber optic na imeweka zaidi ya kilomita 18,000 za nyuzi macho, na kutoa huduma za mawasiliano katika mikoa yote 26 ya Tanzania.
Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Halotel 2024
Ni rahisi mno kutazama na Kujua Salio la internet Halotel, kuangalia salio la data ya Halotel 2024 kupitia njia ifuatayo;
- Fungua sehemu ya Kupiga Simu (Dialer)
- Ingiza *102#
- Bonyeza kitufe cha kupiga simu.
Baada ya sekunde chache, utapokea ujumbe mfupi (SMS) kutoka Halotel unaoonyesha salio la Dakika, SMS na MB zilizobaki kwenye vifurushi vyako, pamoja na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kifurushi chako.
Kuangalia salio Halopesa
Kuangalia salio Halopesa (Halopesa balance check) tumia hatua hizi
- Bofya *150*88#
- Chagua Akaunti yangu
- Chagua salio
Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya kuangalia salio la data ya Halopesa 2024 au mengineyo.
Be the first to comment