Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Tigo 2024

Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Tigo 2024

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Tigo 2024 (Kujua Salio la internet Tigo). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu kuangalia salio la bando la Tigo.

Kuhusu kuangalia salio la bando la Tigo

Tigo ni mojawapo ya Makampuni ya mawasiliano nchini Tanzania. Kampuni ya Tigo ina zaidi ya watumiaji milioni 13.5 waliojiandikisha kwenye mtandao wao, Tigo, moja kwa moja na kwa njia isiyo ya moja kwa moja, imeajiri zaidi ya Watanzania 300,000 ikiwa ni pamoja na mtandao mpana wa wawakilishi wa huduma kwa wateja, wafanyabiashara wa pesa za simu, mawakala wa mauzo na wasambazaji.

Tigo ndiyo chapa kubwa zaidi ya kibiashara ya Millicom, kampuni ya kimataifa inayofanya biashara katika nchi 12 zenye shughuli za kibiashara barani Afrika na Amerika Kusini na ofisi za mashirika huko Ulaya na Marekani.

Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Tigo 2024

Ni rahisi mno kutazama na Kujua Salio la internet Tigo, kuangalia salio la data ya Tigo 2024 kupitia njia ifuatayo;

  1. Fungua sehemu ya Kupiga Simu (Dialer)
  2. Ingiza *102#
  3. Bonyeza kitufe cha kupiga simu.

Baada ya sekunde chache, utapokea ujumbe mfupi (SMS) kutoka Tigo unaoonyesha salio la Dakika, SMS na MB zilizobaki kwenye vifurushi vyako, pamoja na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kifurushi chako.

Kuangalia salio Tigo pesa

Kuangalia salio Tigo pesa (Tigo pesa balance check) tumia hatua hizi

  1. Bofya *150*01#
  2. Chagua Akaunti yangu
  3. Chagua salio

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya kuangalia salio la data ya Tigo 2024 au mengineyo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*