Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Vodacom 2024 (Kujua Salio la internet Vodacom). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu kuangalia salio la bando la Vodacom.
Kuhusu kuangalia salio la bando la Vodacom
Vodacom Tanzania Limited ni kampuni inayoongoza nchini Tanzania ya mtandao wa simu. Kufikia Desemba 2020, Vodacom Tanzania ilikuwa na zaidi ya wateja milioni 15.6 na ilikuwa mtandao mkubwa zaidi wa mawasiliano bila waya nchini Tanzania.
Vodacom Tanzania ni kampuni ya pili ya mawasiliano barani Afrika, baada ya Vodacom, kuwasha 3G High-Speed Downlink Packet Access (HSDPA) ambayo ilipatikana Dar Es Salaam pekee mapema 2007.
Jinsi ya Kuangalia Salio la Vifurushi Vodacom 2024
Ni rahisi mno kutazama na Kujua Salio la internet Vodacom, kuangalia salio la data ya Vodacom 2024 kupitia njia ifuatayo;
- Fungua sehemu ya Kupiga Simu (Dialer)
- Ingiza *102#
- Bonyeza kitufe cha kupiga simu.
Baada ya sekunde chache, utapokea ujumbe mfupi (SMS) kutoka Vodacom unaoonyesha salio la Dakika, SMS na MB zilizobaki kwenye vifurushi vyako, pamoja na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kifurushi chako.
Kuangalia salio Mpesa
Kuangalia salio Mpesa (Vodacom Mpesa balance check) tumia hatua hizi
- Bofya *150*00#
- Chagua Akaunti yangu
- Chagua salio
Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya kuangalia salio la data ya Vodacom 2024 au mengineyo.
Be the first to comment