Jinsi ya Kuangalia Usajili wa Namba ya Simu 2024

Jinsi ya Kuangalia Usajili Wa Namba ya Simu 2024

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kuangalia Usajili Wa Namba ya Simu 2024 (Jinsi ya kuangalia nambari ya simu iliyosajiliwa). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Kuangalia usajili wa line nchini Tanzania.

Kuhusu Kuangalia Usajili wa Namba ya Simu 2024

Katika ulimwengu wa leo ambao unategemea sana mawasiliano katika kufanikisha shughuli mbalimbali za kijamii, simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu.

Nchini Tanzania usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole kupitia kitambulisho cha taifa cha NIDA umekuwa ni lazima kisheria. Sababu kubwa ni kudhibiti matumizi mabaya ya huduma za mawasiliano na kuhakikisha usalama wa umma ikiwemo kuponguza utapeli wa mtandaoni.

Jinsi ya Kuangalia Usajili wa Namba ya Simu

Fuata hatua zifuatazo uli kuweza Kuangalia Usajili Wa Namba ya Simu.

  1. Piga *106#
  2. Chagua chaguo “1“Angalia Usajili”
  3. Nakiri namba ya SIM kadi yako pamoja na jina kamili lililosajiliwa juu yake

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya kuangalia usajili wa simu au mengineyo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*