Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kukopa Salio Airtel Niwezeshe Menu 2024 (Menu Ya Kukopa Salio Airtel niwezeshe). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Kukopa salio AIETEL.
Kuhusu Menu Ya Kukopa Salio Airtel niwezeshe 2024
Airtel Tanzania Limited ni kampuni ya tatu kwa ukubwa ya mtandao wa simu nchini Tanzania inayoendeshwa na Airtel Africa, ambayo ni kampuni tanzu ya Bharti Airtel ya India, nyuma ya Vodacom Tanzania na Tigo Tanzania.
Kufikia Septemba 2017, Airtel Tanzania ilikuwa na watumiaji wa sauti milioni 10.6. Hadi kufikia Desemba 2017 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania, Airtel Tanzania ilidhibiti asilimia 27.1 ya soko la simu za mkononi Tanzania kwa nambari za wateja, wakati huo ilikadiriwa kuwa milioni 10.86.
Kampuni hiyo ni sehemu ya Airtel Africa, waendeshaji wa mtandao wa simu barani Afrika na mtoa huduma mkubwa zaidi wa simu za mkononi barani Afrika nje ya Afrika Kusini, inayofanya kazi katika nchi 14 barani humo.
Jinsi ya Kukopa Salio Airtel
Ni rahisi sana Kukopa muda wa maongezi Airtel.Kama umepungukiwa salio kupitia laini yako ya Airtel, unaweza kukopa salio kupitia hatua zifatazo;
- Kukopa Salipo Airtel Piga *149*44#
- Chagua 1 Bando za mitandao yote
- Chagua 2 kwa airtel kwenda airtel
- Chagua 3 Kwa bando za internet pekee.
Vigezo Na Masharti Ya Huduma Ya Airtel Daka Salio
- Huduma hii kitakuwa kinapatikana kwa wateja wa malipo ya kabla
- Huduma hii iitakuwa inapatikana kupitia *149*44 # menyu ya huduma.
- Mtumiaji lazima awe kwenye mtandao wa Airtel kwa angalau siku 90.
- Mkopo lazima kulipwa baada ya siku 7.
- Airtel haitofidia kwa huduma yoyote iliyonunuliwa. Vifurushi vyote vilivyonunuliwa lazima vitumike kama ilivyoekezwa katika menyu ya huduma.
- Mchakato wa ulipaji wa mkopo hutokea wakati mtumiaji anaongeza muda wa maongezi ambapo kiasi cha mkopo kitaondolewa kwanza na salio lilibaki litawekwa katika akaunti kuu ya mtumiaji.
- Ada ya huduma ya 15% inakusanywa wakati wa kuongeza salio.
- Mtumiaji atalipa ada ya huduma ya 15% kwa ajili ya huduma ya mkopo.
- Mtumiaji ataomba mkopo, atapokea muda wa maongezi au kifurushi cha kiasi kilichoombwa.
- Airtel Tanzania PLC ina haki ya kusahihisha au kurekebisha vigezo hivi na masharti au kuondoa bidhaa wakati wowote. Tukio lolote katika hayo, taarifa itakuwa na ufanisi mara moja au kama tarehe ilivyotajwa katika arifu kama hizo.
Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Airtel au mengineyo.
Be the first to comment