Jinsi ya Kukopa Salio Halotel Niwezeshe Menu 2024

Jinsi ya Kukopa Salio Halotel Niwezeshe Menu 2024

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kukopa Salio Halotel Niwezeshe Menu 2024 (Menu ya Kukopa Salio Halotel niwezeshe). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Kukopa salio Halopesa.

Kuhusu Menu ya Kukopa Salio Halotel niwezeshe

Halotel ni kampuni ya biashara ya mawasiliano ya simu za mkononi, inayotoa huduma za sauti, ujumbe, data na mawasiliano nchini Tanzania iliyo chini ya kampuni ya Viettel Tanzania Public Limited.

Halotel Inamilikiwa na Viettel Global JSC ambayo ni Kampuni ya Uwekezaji inayomilikiwa na serikali kutoka Vietnam inayowekeza katika soko la Mawasiliano katika nchi kadhaa duniani kote. Imewekeza hadi $1 Bilioni katika soko la mawasiliano la Tanzania. Kampuni ilikuwa kampuni ya kwanza nchini Tanzania kuruhusiwa kuweka kebo yake ya fiber optic na imeweka zaidi ya kilomita 18,000 za nyuzi macho, na kutoa huduma za mawasiliano katika mikoa yote 26 ya Tanzania.

Jinsi ya kukopa salio halotel 2024 

Ni rahisi sana kupata menu ya kukopa salio halotel au niwezeshe. Kama umepungukiwa salio kupitia laini yako, unaweza kukopa salio kupitia hatua zifatazo;

  1. Piga *149*63# kwenye Simu Yako
  2. Chagua Chaguo la “Kukopa Salio”
  3. Chagua Kiwango cha Muda wa Maongezi Unachotaka
  4. Thibitisha Ombi Lako.

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Halotel au mengineyo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*