Jinsi ya Kukopa Salio Nipige Tafu Vodacom 2024

Jinsi ya Kukopa Salio Nipige Tafu Vodacom 2024

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya Kukopa Salio Nipige Tafu Vodacom 2024 (Menu ya Kukopa Salio Vodacom). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Kukopa salio Vodacom.

Kuhusu Menu ya Kukopa Salio Vodacom

Vodacom Tanzania Limited ni kampuni inayoongoza nchini Tanzania ya mtandao wa simu. Kufikia Desemba 2020, Vodacom Tanzania ilikuwa na zaidi ya wateja milioni 15.6 na ilikuwa mtandao mkubwa zaidi wa mawasiliano bila waya nchini Tanzania.

Vodacom Tanzania ni kampuni ya pili ya mawasiliano barani Afrika, baada ya Vodacom, kuwasha 3G High-Speed ​​Downlink Packet Access (HSDPA) ambayo ilipatikana Dar Es Salaam pekee mapema 2007.

Jinsi ya kukopa salio vodacom

Ni rahisi sana kukopa salio vodacom.Kama umepungukiwa salio kupitia laini yako ya Airtel, tazama hatua hizi Jinsi ya kukopa Songesha kupitia njia zifatazo;

  1. Piga *149*01#
  2. Chagua Nipige Tafu
  3. Chagua salio la mkopo au kiwango cha mkopo.

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Jinsi ya Kukopa Muda wa Maongezi Vodacom au mengineyo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*