Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Jinsi ya kukopa salio tigo 2024 pdf download (Menu ya kukopa salio tigo niwezeshe). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Kukopa salio Tigo.
Kuhusu Jinsi ya kukopa salio tigo 2024 pdf download
Tigo ni mojawapo ya Makampuni ya mawasiliano nchini Tanzania. Kampuni ya Tigo ina zaidi ya watumiaji milioni 13.5 waliojiandikisha kwenye mtandao wao, Tigo, moja kwa moja na kwa njia isiyo ya moja kwa moja, imeajiri zaidi ya Watanzania 300,000 ikiwa ni pamoja na mtandao mpana wa wawakilishi wa huduma kwa wateja, wafanyabiashara wa pesa za simu, mawakala wa mauzo na wasambazaji.
Tigo ndiyo chapa kubwa zaidi ya kibiashara ya Millicom, kampuni ya kimataifa inayofanya biashara katika nchi 12 zenye shughuli za kibiashara barani Afrika na Amerika Kusini na ofisi za mashirika huko Ulaya na Marekani.
Jinsi ya kukopa salio tigo 2024 pdf download | Menu ya kukopa salio tigo niwezeshe
Ni rahisi sana kupata menu ya kukopa salio tigo au niwezeshe. Kama umepungukiwa salio kupitia laini yako ya tigo, unaweza kukopa salio kupitia hatua zifatazo;
- Piga *149*05# Kisha Chagua Kifurushi unachotaka kukopa
- Piga *149*49# Kukopa Dakika Tigo
- Piga *149*55# Kukopa MB za kuperuzi intaneti
- Pia Unaweza kukopa Kifurushi chenye dakika, SMS na MB kwa kupiga *147*00#
Huduma hii ya Niwezeshe salio itakupa salio litakalo kuwezesha kupiga simu, kutuma SMS na kuperuzi intaneti. Deni litalipwa utakapo ongeza salio.
Be the first to comment