
Kama jina lako limeonekana kwenye tangazo la kuitwa kazini kupitia tovuti ya Utumishi, basi hatua zinazofuata ni rahisi sana. Fuata maelekezo haya ili upate barua yako ya ajira kwa haraka:
Jinsi Ya Kupata Barua Ya Kuripoti Kazini Bila Kwenda UTUMISHI Dodoma
- Ingia kwenye akaunti yako ya Ajira Portal – Tembelea portal.ajira.go.tz na uingie kwa kutumia taarifa zako.
- Bonyeza sehemu ya “My Application” – Hapa ndipo unapoweza kuona maombi yako yote ya kazi.
- Pakua barua yako ya kuitwa kazini – Ukishaiona, pakua na uanze maandalizi ya kuripoti kazini.
- Ripoti kazini kama ilivyoelekezwa kwenye barua – Hakikisha unafuata maagizo yote yaliyoandikwa.
- Nakala za barua kwa waajiri pia zinapatikana Ajira Portal – Waajiri nao wanaweza kupakua barua kupitia mfumo huo huo.
Angalia Hapa: Jinsi ya Kujisajili na Ajira Portal
Be the first to comment