
Leo, Jumamosi tarehe 31 Mei 2025, klabu ya Simba S C itamenyana na Singida Black Stars katika mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho (CRDB Confederation Cup)
Mahali na Muda wa Mechi
- Uwanja: Tanzanite Kwaraa, Arusha
- Muda wa Kuanza: Saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT)
Historia ya Mikutano ya Timu Hizi
Simba S C na Singida Black Stars wamekutana mara 6 katika mashindano mbalimbali. Simba SC imeshinda mechi 4, huku mechi 2 zikiisha kwa sare. Singida Black Stars bado haijapata ushindi dhidi ya Simba SC. Katika mechi yao ya mwisho mnamo Desemba 28, 2024, Simba S C ilishinda kwa bao 1-0 ugenini
Kikosi cha Simba vs Singida Black Stars Leo
Simba SC:

- Mousa Camarra (Kipa)
- Duchu
- Valentine Nouma
- Che Malone
- Hamza
- Yusuph Kagoma
- Joshua Mutale
- Fabrice Ngoma
- Mukwala
- Jean Charles Aouha
- Kibu
Angalia hapa: Msimamo Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/2025
Singida Black Stars:
- Metacha (Kipa)
- Mkumbo
- Malonga
- Assinki
- Trabi
- Damaro
- Keyekey
- Pokou
- Adebayor
- Bada
- Sowah
Kumbuka: Vikosi hivi vinavyotarajiwa vinaweza kubadilika kulingana na maamuzi ya benchi la ufundi na hali za wachezaji kabla ya mechi.
Mahali pa Kuangalia Mechi
Mechi hii itarushwa moja kwa moja kupitia Azam Sports HD kwa watazamaji wa Tanzania, Kenya, Uganda, na Malawi.
Tegemea mechi ya ushindani mkubwa leo jioni!
Be the first to comment