Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 pdf

Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 20252026 pdf

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Majina ya waliochaguliwa kidato cha tano 2025/2026 pdf (shule walizopangiwa kidato cha tano 2025 pdf). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025.

Kuhusu Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 pdf

Selections za form five nchini Tanzania hutolewa na TAMISEMI kila mwaka baada ya uchaguzi wa wanafuzi kwendelea na masomo ya juu na vyuo vya kati kukamilika.

Uchaguzi huu huusisha majina ya wanafunzi wote waliopata ufahulu wa daraja la kwanza mpka daraja la tatu. Wanafunzi hupewa upendeleo wa kulekwa vyuo au shule za advance walizomba wakati wa kujaza selform.

Kupata Majina kwa haraka Bofya link Hii

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025 na Shule Walizopangiwa, au mengineyo.

Orodha yote umewekewa kwenye link hii>>https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*