
Matokeo ya Simba na KMC leo, Mechi kali ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) inatarajiwa kuchezwa kati ya Simba SC dhidi ya KMC FC, ambapo mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya kiwango cha juu. Kama ilivyo kawaida, matokeo ya Simba na KMC huwa na mvuto mkubwa kutokana na historia ya timu hizi mbili.
1. Muda wa Mechi na Uwanja Utakaochezewa
- 🗓 Tarehe: 11 May 2025
- 🕕 Muda: 10:00 jioni
- 📍 Uwanja: KMC Complex, Dar es Salaam
Uwanja huu umekuwa nyumbani kwa mechi nyingi muhimu, na mashabiki wa Simba wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yao.
2. Matokeo ya Simba na KMC leo – Historia ya Mechi Zilizopita (Simba vs KMC H2H)
Kwa miaka ya hivi karibuni, Simba SC imekuwa ikitawala katika matokeo ya Simba na KMC. Hapa chini ni baadhi ya matokeo ya mechi tano za mwisho walizokutana:
Msimu | Simba SC vs KMC | Matokeo |
---|---|---|
2024/2025 : HT | SIMBA 1 – 1 KMC | Chambo DK 7, Mukwala 18 |
2023/2024 | Simba 2-0 KMC | Ushindi Simba |
2022/2023 | KMC 1-3 Simba | Ushindi Simba |
2022/2023 | Simba 1-1 KMC | Sare |
2021/2022 | Simba 4-1 KMC | Ushindi Simba |
2021/2022 | KMC 0-2 Simba | Ushindi Simba |
Angalia Hapa: Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025
Kwa ujumla, Simba SC imekuwa na rekodi nzuri dhidi ya KMC, lakini kila mechi huja na simulizi tofauti.
Be the first to comment