
Nafasi Mpya za Ajira Equity Bank Limited April 2025, Equity Bank Limited ilianza kutoa huduma rasmi tarehe 9 Februari 2012 ikiwa na matawi mawili; moja likiwa Quality Centre, Dar es Salaam na jingine Arusha. Hadi sasa, benki ina jumla ya matawi 8 — sita (6) yako Dar es Salaam, moja (1) Arusha na moja (1) Mwanza.
Kufikia mwisho wa mwezi Juni 2014, benki ilikuwa imepata zaidi ya akaunti 85,675 za wateja. Benki hii ni sehemu ya kundi la Equity Bank Group lenye makao yake makuu Nairobi, Kenya, ambalo lina matawi ya kifedha katika nchi za Kenya, Uganda, Rwanda, Tanzania na Sudan Kusini.
Tuna dhamira ya kubadilisha maisha na hali ya kiuchumi ya watu wetu kwa kuwawezesha kupata huduma za kifedha za kisasa, jumuishi na zenye kuwapatia fursa zaidi. Maadili yetu yameunganishwa moja kwa moja na shughuli zetu za kila siku, na yamekuwa sehemu ya utamaduni wetu. Maadili haya ni mwangaza wa imani zetu na hutumika kama kanuni mwongozo za kutupimia utendaji wetu.
Benki ni mwajiri anayetoa fursa sawa kwa wote, hivyo waombaji wote waliokidhi vigezo wanahimizwa kuwasilisha maombi.
Nafasi Mpya za Ajira Equity Bank Limited
Benki inatafuta watu wa kujaza nafasi mpya za kazi. SOMA MAELEZO KAMILI KUPITIA HATI YA PDF ILIYO AMBATTANISHWA HAPA CHINI:
Kutuma Maombi ya Ajira hizo zilizotangazwa BONYEZA HAPA
Be the first to comment