Nafasi za kazi ACB Bank May 2025

Nafasi za kazi ACB Bank May 2025

Nafasi za kazi ACB Bank, Benki ya Akiba Commercial Bank Plc (ACB Bank) ilianza kutoa huduma za kibenki mwezi Agosti 1997 kama wazo la zaidi ya wajasiriamali 300 wa Kitanzania. Wajasiriamali hao walihamasika kuingia kwenye huduma ndogo za kifedha (microfinance) kwa sababu ya kuguswa kimaadili na kiuchumi na maisha ya Watanzania wengi waliokuwa hawajafikiwa na huduma za kifedha.

Waanzilishi hao waliamini kwa dhati kuwa kupitia ACB Bank, wangepata njia ya kuwafikia na kuwasaidia Watanzania waliokuwa hawatumii huduma za kibenki na waliokuwa hawana uelewa mzuri wa biashara. Lengo kuu la benki hii lilikuwa kusaidia kuanzishwa kwa biashara ndogondogo za Kitanzania kwa kutoa huduma za kifedha katika ngazi zote kupitia benki ya kibiashara inayomilikiwa na Watanzania, inayowajua watu wake na imejitoa kwao. Hilo ndilo lilikuwa lengo kuu na la msingi la waanzilishi wa benki hii.

Leo hii, A C B Bank imepanua huduma zake nje ya Dar es Salaam na imejiimarisha vizuri katika sekta ya benki nchini Tanzania, ambayo ina idadi kubwa ya benki kulinganisha na nchi nyingine nyingi barani Afrika. ACB Bank ni mwajiri anayezingatia usawa wa fursa, hivyo waombaji wote wenye sifa wanahimizwa kuomba kazi.

Nafasi za kazi ACB Bank

Benki hii inayoheshimika inatangaza nafasi mpya ya ajira kwa waombaji wenye sifa na vigezo vinavyohitajika. SOMA MAELEZO KAMILI KATIKA HAPO CHINI.

  1. Nafasi: Mkaguzi wa Mikopo ya Makampuni Omba Hapa

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*