
Nafasi za kazi Anza : Capital Services Manager
Anza inatafuta Capital Services Manager atakayeongoza mkakati wetu wa kutoa huduma za upatikanaji wa mitaji kupitia AGF Microfinance na Investment Facilitation.
Sifa za Muombaji:
- Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka 7 katika usimamizi wa fedha, utafutaji wa uwekezaji, mikopo, au usimamizi wa kifedha.
- Awe na elimu ya juu katika masuala ya Fedha, Uhasibu, Biashara au fani zinazohusiana.
- Awe na uzoefu wa kuandaa taarifa za uwekezaji (investment data rooms) na miundo ya kifedha (financial models).
- Awe anaweza kuzungumza na kuandika kwa ufasaha lugha ya Kiingereza na Kiswahili.
Jiunge nasi katika kutimiza dhamira yetu ya kufungua fursa za mitaji kwa wajasiriamali wenye uwezo mkubwa hapa Tanzania!
Jinsi ya Kutuma Maombi: Nafasi za kazi Anza
Tuma wasifu wako (CV) pamoja na barua ya maombi kupitia barua pepe: [email protected]
Au tembelea tovuti yetu: anza.co.com
Mwisho wa kutuma maombi: 30 Aprili 2025
Ni waombaji waliokidhi vigezo pekee watakaowasiliana nao.
Mapendekezo: Nafasi za kazi Mwanga Hakika Bank Limited (MHB) April 2025
Be the first to comment