
Taasisi: Camara Education
Mahali: Tanzania
Nafasi: Mafunzo kwa Vitendo ya Kulipwa – Fundi wa ICT
Sifa za Muombaji:
- Awe na shahada ya B.Sc. katika fani ya Computer Science, IT, Telecom, au fani zinazofanana.
- Awe na uzoefu wa awali kama fundi au mkufunzi.
- Awe na ujuzi mzuri wa mawasiliano na mahusiano na watu.
Jinsi ya Kuomba: Nafasi za kazi Camara Education
- Hii ni kazi ya muda wote (full-time).
- Ili kutuma maombi yako, tafadhali tumia fomu ya maombi mtandaoni kupitia kiunganishi hapa chini:
Be the first to comment