
Nafasi za kazi Platinum Credit LTD May 2025
Kichwa cha Habari: Afisa Mwandamizi wa Mafunzo
Nafasi wazi: Nafasi 1
Mahali pa kazi: Makao Makuu
Majukumu ya Kazi:
- Kubaini na kufuatilia mahitaji ya mafunzo ndani ya kampuni.
- Kubuni, kupanga na kutekeleza programu, sera na taratibu za mafunzo ili kukidhi mahitaji hayo.
- Kuhakikisha ongezeko na udumu wa wawakilishi wa mauzo (sales reps).
- Kuongeza kiwango cha kuridhika kwa wateja kupitia mafunzo yenye ufanisi.
Sifa zinazohitajika:
- Shahada ya kwanza katika fani ya biashara, elimu au Usimamizi wa Rasilimali Watu.
- Uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili.
- Ujuzi wa Usimamizi wa Miradi.
- Uwezo mzuri wa kuwasiliana na uongozi.
- Uwezo wa kuchambua matatizo na kuyatatua.
- Ujuzi wa kufundisha na kutoa mwongozo (coaching).
- Uwezo mzuri wa kuwasilisha na kuelezea mambo.
Namna ya Kutuma Maombi: Nafasi za kazi Platinum Credit LTD
Waombaji wanaokidhi vigezo LAZIMA watume wasifu wao (CV) na barua ya maombi pamoja na nakala za vyeti vyote vya taaluma kwa njia ya barua pepe.
Barua pepe ya kutuma maombi: [email protected]
Kichwa cha barua pepe: SENIOR TRAINING OFFICER
Mwisho wa kutuma maombi: 2 Mei 2025
Be the first to comment