
Tunaajiri Walimu – Shule za An.azak
Tunatafuta walimu wa shule ya msingi kufundisha masomo yafuatayo:
- Hisabati
- Jiografia
Sifa za Mwombaji: Nafasi za Kazi Shule ya Anazak
- Awe na uzoefu wa kufundisha ngazi zote za shule ya msingi
- Awe na Shahada au Stashahada
- Awe na uzoefu wa kufundisha Hisabati na Jiografia
Tuma maombi yako kwa:
Mwisho wa kutuma maombi ni:
Jumanne, 22/04/2025
Unaweza pia kupeleka maombi yako moja kwa moja katika:
Shule ya Msingi A.nazak, Kimara Temboni
Tuma maombi sasa.
Angalia Hapa: Nafasi za Kazi Ualimu Aga Khan Education Service Machi 2025
Be the first to comment