
Nafasi za kazi TANROADS, Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) ina jukumu la kutunza na kuendeleza barabara kuu za Tanzania Bara. Pia inasimamia shughuli mbalimbali za barabara.
Meneja wa Mkoa wa TANROADS – Pwani, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, anatangaza nafasi za ajira kwa mkataba wa muda maalum (unaoweza kuongezwa) kama ifuatavyo:
1. Afisa Mizani – Nafasi 4 Omba Hapa
2. Fundi Daraja la II – Uendeshaji Mizani – Nafasi 7 Omba Hapa
3. Msaidizi wa Uhasibu Daraja I – Nafasi 2 Omba Hapa
4. Dereva Daraja la II – Nafasi 2 Omba Hapa
Masharti ya Jumla: Nafasi za kazi TANROADS
- Raia wa Tanzania, umri usiozidi miaka 45.
- Wenye ulemavu wanahimizwa kuomba.
- Ambatanisha CV ya kisasa, nakala za vyeti vilivyothibitishwa (Form IV, VI, Diploma, nk), na cheti cha kuzaliwa.
- Hakuna kupokea: slip za matokeo, testimonials, wala transkripti zisizokamilika.
- Wanaohudumu serikalini waonyeshe hadhi yao.
- Wasilisha mawasiliano ya waamuzi 3.
- Vyeti vya nje vihakikiwe na NECTA/NACTE.
- Mwisho wa kutuma maombi: 07 Mei 2025.
- Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza, ipelekwe kwa:
Meneja wa Mkoa,
TANROADS,
S.L.P. 30150,
KIBAHA – PWANI.
Be the first to comment