
Nafasi za kazi Udereva St Jude April 2025
Tangazo la Kazi: Nafasi ya Dereva (1)
Kuhusu Shule
Shule ya St. Jude ni taasisi ya hisani inayotoa elimu hapa Tanzania. Shule hii inasaidiwa na wafadhili kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao huchangia kufanikisha lengo letu la kutoa elimu bora na bila malipo kwa wanafunzi wenye vipaji kutoka familia masikini hapa Tanzania.
Nafasi za kazi Udereva St Jude
Shule ya St. Jude inapenda kutangaza nafasi moja (1) ya kazi ya Dereva kwa Watanzania waliohitimu na wenye sifa.

Be the first to comment