
VIGOR Group of Companies, moja ya makampuni yanayoongoza kwa ubunifu na huduma bora nchini Tanzania, imetangaza nafasi mbili za ajira kwa Watanzania wenye sifa. Kama unatafuta kazi kwenye kampuni inayoendana na kasi ya teknolojia na maendeleo, basi hii ni nafasi yako ya kipekee!
Be the first to comment