Nauli ya Treni ya Umeme SGR Dar to Dodoma 2024

Nauli ya Treni ya Umeme SGR Dar to Dodoma

Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Nauli ya Treni ya Umeme SGR Dar to Dodoma ( Nauli a za SGR Dar to Dodoma). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu Nauli za treni ya mwendokasi nchini Tanzania.

Kuhusu Nauli ya Treni ya Umeme SGR Dar to Dodoma 2024

hirika la Reli Tanzania (TRC) ni kampuni inayomilikiwa na serikali inayoendesha moja ya mitandao mikuu miwili ya reli nchini Tanzania. Makao Makuu yapo Mchafukoge, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.

Shirika la Reli na Bandari la Afrika Mashariki lilipovunjwa mwaka 1977 na mali zake kugawanywa kati ya Kenya, Tanzania na Uganda, TRC iliundwa kuchukua shughuli zake nchini Tanzania. Mnamo 1997 kitengo cha meli ya ndani kilikuwa kampuni tofauti.

Nauli ya Treni ya Umeme ya SGR Dar to Dodoma

Nauli za treni ya SGR Dar to Dodoma zinatofautiana kulingana na aina ya treni na daraja la huduma unalochagua:

1. Treni ya Kawaida

Nauli ya Treni ya Kawaida ni Tsh 31,000 kwa safari ya kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma.

2. Treni ya Haraka (Express Train)

  • Daraja la Biashara (Business Class): Tsh 70,000
  • Daraja la Juu (Royal Class): Tsh 120,000

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Nauli ya treni ya umeme Dodoma to Dar TRC au mengineyo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*