Ratiba ya treni ya sgr dar to dodoma timetable, ratiba ya treni ya umeme, ratiba ya leo sgr,Ratiba ya sgr dar to dodoma, Ratiba ya treni ya sgr schedule
Karibu sana katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Ratiba ya Treni ya sgr Dar to ratiba ya treni ya umeme nchini Tanzania.
Kuhusu Ratiba ya Treni ya sgr Dar to Dodoma 2024
hirika la Reli Tanzania (TRC) ni kampuni inayomilikiwa na serikali inayoendesha moja ya mitandao mikuu miwili ya reli nchini Tanzania. Makao Makuu yapo Mchafukoge, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
Shirika la Reli na Bandari la Afrika Mashariki lilipovunjwa mwaka 1977 na mali zake kugawanywa kati ya Kenya, Tanzania na Uganda, TRC iliundwa kuchukua shughuli zake nchini Tanzania. Mnamo 1997 kitengo cha meli ya ndani kilikuwa kampuni tofauti.
1. Treni ya Haraka (Express): Dar Es Salaam – Morogoro – Dodoma
- Kuondoka Dar es Salaam (DSM): Saa 12:00 Asubuhi
- Kufika Morogoro (MOR): Saa 1:40 Asubuhi
- Kuondoka Morogoro (MOR): Saa 1:45 Asubuhi
- Kufika Dodoma (DOM): Saa 3:42 Asubuhi
Safari hii ya treni ya Haraka huchukua takribani saa 3 na dakika 42.
2. Treni ya Haraka (Express): Dodoma – Morogoro – Dar Es Salaam
- Kuondoka Dodoma (DOM): Saa 11:15 Jioni
- Kufika Morogoro (MOR): Saa 1:12 Usiku
- Kuondoka Morogoro (MOR): Saa 1:17 Usiku
- Kufika Dar es Salaam (DSM): Saa 2:53 Usiku
3. Treni ya Kawaida (Ordinary): Dar Es Salaam – Morogoro – Dodoma
- Kuondoka Dar es Salaam (DSM): Saa 3:30 Asubuhi
- Kufika Morogoro (MOR): Saa 5:15 Asubuhi
- Kuondoka Morogoro (MOR): Saa 5:20 Asubuhi
- Kufika Dodoma (DOM): Saa 7:25 Mchana
Safari hii ya treni ya kawaida huchukua takribani saa 3 na dakika 55.
4. Treni ya Kawaida (Ordinary): Dodoma – Morogoro – Dar Es Salaam
- Kuondoka Dodoma (DOM): Saa 8:10 Mchana
- Kufika Morogoro (MOR): Saa 10:15 Jioni
- Kuondoka Morogoro (MOR): Saa 10:20 Jioni
- Kufika Dar es Salaam (DSM): Saa 12:10 Jioni
5. Ratiba treni safari za usiku
Kwa abiria wanaopendelea safari za usiku, kuna treni za kawaida pia zinazoondoka Dodoma:
- Kuondoka Dodoma (DOM): Saa 12:55 Usiku
- Kufika Morogoro (MOR): Saa 2:51 Usiku
- Kuondoka Morogoro (MOR): Saa 2:56 Usiku
- Kufika Dar es Salaam (DSM): Saa 5:01 Usiku
Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu Ratiba ya treni ya sgr schedule au mengineyo.
Be the first to comment