Walimu Walioitwa Kazini 2025/2026 Ajira Portal

Walimu Walioitwa Kazini 2025/2026 Kupitia Ajira Portal

Majina ya Walimu Walioitwa Kazini, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji kazi waliofanya usaili kati ya tarehe 14 Agosti 2024 na 17 Januari 2025 kuwa matokeo ya waombaji waliofaulu usaili ni kama yalivyoorodheshwa kwenye tangazo hili. Orodha hii pia inajumuisha baadhi ya waombaji walio kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali na ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Orodha ya Walimu Walioitwa Kazini 2025

(Majina ya Walimu Walioitwa Kazini) Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua zao za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi, ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili. Baada ya muda huo, barua ambazo hazitachukuliwa zitatumwa kupitia anuani zao za posta.

Waombaji kazi waliofaulu na kupangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kuripoti kwa mwajiri katika muda ulioainishwa kwenye barua zao za kupangiwa kituo cha kazi, wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali fahamuni kuwa hamkufaulu usaili na hapatikani nafasi hii. Tunawashauri kuendelea kuomba nafasi zingine zitakapotangazwa.

Muhimu:

Waombaji wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuwa na kitambulisho cha utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:

  • Kitambulisho cha Uraia
  • Hati ya Kusafiria
  • Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi
  • Kitambulisho cha Mpiga Kura
  • Leseni ya Udereva

Orodha ya Majina Walimu Walioitwa Kazini 2025/2026

  1. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 06-03-2025
  2. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 04-03-2025
  3. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 21-02-2025
  4. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 19-02-2025
  5. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 18-02-2025
  6. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 17-02-2025
  7. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 14-02-2025
  8. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 14-02-2025
  9.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 14-02-2025
  10. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 12-02-2025
  11. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 10-02-2025
  12. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 06-02-2025
  13.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 06-02-2025
  14.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 05-02-2025
  15.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 05-02-2025
  16. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 04-02-2025
  17.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 03-02-2025
  18.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 03-02-2025
  19. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 02-02-2025
  20.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025
  21.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025
  22.  TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025

Kwa taarifa zaidi kuhusu Majina ya Walimu Walioitwa Kazini tembelea: Ajira Portal

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*