
Majina Walioitwa kwenye Usaili Utumishi 2025
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kwa niaba ya taasisi mbalimbali za serikali, inapenda kuwajulisha waombaji wote wa kazi waliotuma maombi kuwa usaili unatarajiwa kufanyika kama ilivyoainishwa kwenye PDF iliyoambatanishwa. Hatimaye, waombaji watakaofaulu […]